mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)imekamata idadi ya wafanyabiashara wapatao 300, kutokana na makosa mbalimbali likjwemo la kutokutumia mashine za EFD. Kamishna mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata amesema serikali haitawavumilia waksepa kodi Tanzania, amesema. April mwaka 2016 TRA imefanikiwa kukushanya 10. 035trilioni ambayo ni sawa na asilimia 99. 5% ya lengo la serikali la kukusanya 1.040trilioni kwa mwezi huh. Mafanikio hayo yametokana na usimamimizi mzuri katika ukusanyaji wa kodi. Amesema Kidata,
miezi kumi iliyopita TRA ilikusanya
sh 11. 092trilioni ambayo ni sawa na asilimia 99 ya lengo letu tulilolenga kukusanya sh 11. 20trilioni kwa kipindi cha mwaka mzima
Ijumaa, 6 Mei 2016
TRA yakamata wafanya biashara 300
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni