Kama movie za action ni movie zako hii unaweza kuiweka Civil War kwenye list ambayo ndani wameshiriki mastaa mbalimbali akiwemo Captain America, Iron Man, Clint Barton, Sam Wilson, Spider Man na wengineo.
Ni movie ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa
hamu hasa wale wapenzi wa movie sasa basi itaanza kuoneshwa rasmi leo
Mei 6, 2016 kwenye theater mbalimbali za Dar es Salaam na ile iliyopo Arusha iitwayo Mikumi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni