Ijumaa, 6 Mei 2016

Fifa imetoa siku 30 kwa simba kulipa deni la zaidi ya milioni 60,ikishimdwa inarudi daraja

shirikisho la soka ulimwenguni FIFA leo may 6 2016,limeleta barua Tanzania kwa klabu ya simba na nakala kwa shirikisho la soka Tanzania TF,barua ambayo imeagiza simba kulipapesa za mchezaji wake wa zamani Donald Musoti bila kumalizia pesa zake za usajilina pesa za kuvunja mkataba baada ya kumuacha                 Fifa imeagiza simba katika barua yake iliyoandikwa may 3 2016 na kufika Tanzania leo may 6 2016 kumlipa musoti tsh ml64.2 na gharama zakikao cha idara ya utatuzi wa migogoro

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Ads Inside Post