Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo video. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo video. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 5 Machi 2017

Makonda: Niliwatumia watu kupata degree yangu

Anasema hakuna kazi ya hovyo ambayo hajawahi kuifanya. Alichimba mchanga na kuchoma mkaa Mbezi Luis, na amewahi kuwa konda na kupakia magunia ya watu kwenye magari.

Mama yake ni darasa la 7, baba yake hakwenda shule kabisa.

Anaendelea kusema kuwa alikuwa anatafuta degree moja tu na hivyo alipambana muda mrefu bila kupata degree. Hatimaye aliwatumia watu kupata degree yake.!

Jumatano, 1 Machi 2017

Aunt Ezekiel: Sikumbuki idadi ya mimba nilizotoa

Msanii wa filamu Aunt Ezekiel amefunguka kwa kudai kuwa ameshawahi kutoa mimba kadhaa lakini hajui ni ngapi.



Muigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae Cookie, akijibu swali la shabiki wake kupitia Kikaango cha EATV aliyetaka kujua idadi ya mimba ambazo amewahi kutoa, Aunty alisema hawezi kusema uongo kuwa hajawahi kutoa mimba, lakini kitu ambacho hakumbuki ni idadi ya mimba alizowahi kutoa.


“Kutoa nishawahi, nikisema sijawahi nitakuwa muongo, ila kukumbuka ni mimba ngapi ndiyo tatizo,”alisema staa huyo wa filamu.

Muigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye mahusiano na dansa wa Diamond Platnumz, Mose Iyobo, amesema kwa sasa anatamani zaidi kupata mtoto wa kiume atakamuita jina la Greyson ambalo ni jina la babu yake.

yemi Alade (Video) – Marry Me | Mp4 Download


Yemi Alade (Video) – Marry Me | Mp4 Download

Mwasiti (Video) – Kaa Nao | Mp4 Download


Mwasiti (Video) – Kaa Nao | Mp4 Download

Ijumaa, 6 Mei 2016

VideoMPYA: Snura anatualika kuitazama video yake mpya ya ‘chura’


Sauti yake Snura tunayo kwenye hit single ‘majanga‘ ambayo ndio ilimtoa, sasa kwenye mfululizo wa nyimbo zake anazoendelea kuzitoa amefikia hapa kwenye kuitoa hii chura ambayo video yake ni official lakini yeye humo ndani haonekani..

Ads Inside Post