Kampuni ya TATA Motors imeamua kumbeep BMW X4 kwa kuja na kitu kipya kabisa, Inaitwa Range Rover Velar, ambao ipo katikati ya Range Rover Evoque na Discovery, ameamua kujipima nguvu na BMW X4 na Porsche Macan ambao wako kwenye game tayari kwa muda mrefu sasa!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni