Dayna Nyange azua gumzo na picha za vichupi mtandaoni, adai zinamsaidia kimuziki
Mwanamuki kutokea hukooo mji kasoro bahari, Dayna Nyange alizua gumzo na vipicha vya nusu uchi anavyotupiaga mtandaoni ila alipoulizwa na mtangazaji wa EATV alidai picha hizo zinamsaidia sana kimuziki kwa kuwa mashabiki wanapenda kuona vitu hivyoPia alipoulizwa Kalah Jeremiah ambaye alikuwa mtu wake wakaribu anamchukuliaje mwanamuziki huyo alidai hamjui msanii huyo na watangazaji waache kumpa kiki
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni