Mbunge wa Arusha Godless Lema ametembelewa na Wema Sepetu Nyumbani kwake
Muda huu Jijini Arusha nyumbani kwa Mjumbe wa kamati kuu na Mbunge wa Arusha Godless Lema ametembelewa na miss wa Tanzania 2006 Wema Issac Abraham Sepetu na Viongozi wa BAWACHA Arusha kwa kumpa pongezi na kujifunza mbinu za Mapambano dhidi ya Dola kandamizi. Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema akimshauri Wema Sepetu nyumbani kwake alipoenda kutembelewa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni