Kiama cha washukia wanywaji kilevi cha pombe maarufu kama viroba,onyo hilo limetolewa rasmi na serikali ya awamu ya tano kuwa ni marufuku kuuza ama kununua bidhaa ya kiroba na kama mtu atakamatwa kwa kujihusisha na uuzaji ama ununaji wa kilevi hicho adhabu yake ni faini ya shillingi 500000= elfu hamsini pamoja na kifungo kisichopungua miezi mitatu jela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni