Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo celebrity. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo celebrity. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 5 Machi 2017

Chadema yaweka ulinzi mkali nyumba ya mama Wema......Ni Baada ya Nyumba Hiyo Kupigwa Mawe Usiku



Nyumba ya mama Wema Sepetu, Mariam Sepetu, iliyopo Sinza Mori jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia jana imepigwa mawe juu ya bati kwa muda wa saa moja na nusu.

Kutokana na tukio hilo viongozi wa Chadema wamechukua hatua ya kuweka ulinzi mkali nyumbani hapo na kuzungumza kuwa wamegundua kitu ambacho hawatakiweka wazi kwa sasa.


Baada ya tukio hilo kutokea mama Sepetu aliwasiliana na mwanae Wema Sepetu pamoja na viongozi wa Chadema, ambapo Meya wa Ubungo, Boniface Jacob alifika na kuangalia hali ya mama huyo na kuamua kuweka ulinzi.


”Tumeshaangalia mazingira yote tumegundua kitu ambacho hatuta kiweka wazi kwa sasa ila tutaweka ulinzi mkali na atakaye jaribu shauri yake hatuta kubali suala hili liendelee kumkuta kamanda wetu na mimi mara kwa mara nitafika kuangalia mazingira” amezungumza hayo Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.


Meya alifafanua kuwa ulinzi huo hautaishia nyumbani kwa mama Wema bali hata nyumbani kwa Wema Sepetu ulinzi utaimarishwa kwani amegundua wanachama hao wapya wamekuwa wakiwindwa na watu wasiojulikana.


Wema alipohojiwa amesema, ” Mama yangu ameteseka usiku kucha kwa kukosa amani, amelia na kukosa hata hamu ya kula tumefika tumemkuta katika hali mbaya, najua yana mwisho ila tutazidi kufanya dua ya kumwomba Mungu atuepushie na mabaya yote,”.


Mama nae alihojiwa na kusema, ” sikuweza kutoka nje kwa kuwa najua mbaya wangu amekaa wapi na amekusudia kufanya nini,”.

Jumatano, 1 Machi 2017

Wema Aonywa kuhusu Batuli, Batuli ni Mafia

Msanii maarufu wa bongo movie, Wema Sepetu, Ameonywa kukaa mbali na msanii mwenzie Yobnesh Yusuph Maarufu kama Batuli, kwani mwanamke huyo ni moto wa kuotea mbali,unaambiwa bongo movie nzima wanalijua timbwili la batuli.

Mnajua kwa nini wema kakimbilia kumpost Batuli instagram baada ya batuli kumlipua wema? Unaambiwa wema anaujua vizuri mziki wa Batuli, hivyo alienda insta kujikosha kuwa walipendana na Batuli, hata hivyo kwa kuwa Batuli sio mpenda kiki amekana vikali wema kusema anampenda na badala yake kasema yeye ndo alikua anampenda wema na hataki unafiki.

Inasemekana Batuli ni mtu asiyependa makuu na sio muongeaji sana ila linapotokea ukamchefua basi vita yake sio ya nchi hii, pia batuli ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani na huwa hakurupuki hivyo hujipanga vizuri kumshambulia adui yake, hivyo wema sepetu ameonywa vikali kukaa mbali na mwanamke huyo, kwani atamuaibisha na kumvua nguo.

Aaaaah mama ubaya kapatikana, umeingia choo cha kike mwaka huu, ulizoea kuwaonea akina Aunty Ezekiel eeh wanakubebea mpaka mapochi.

Jamani mkitaka kujua timbwili la Batuli muulizeni muheshimiwa naniliuuu, unaambiwa batuli alimfuata huyo muheshimiwa mpaka kwa mke wake na kuanzisha timbwili la mwaka, aaaah huyo muheshiwa simtaji ng'ooooo![​IMG]

Dayna Nyange azua gumzo na picha za vichupi mtandaoni, adai zinamsaidia kimuziki

Mwanamuki kutokea hukooo mji kasoro bahari, Dayna Nyange alizua gumzo na vipicha vya nusu uchi anavyotupiaga mtandaoni ila alipoulizwa na mtangazaji wa EATV alidai picha hizo zinamsaidia sana kimuziki kwa kuwa mashabiki wanapenda kuona vitu hivyo
Pia alipoulizwa Kalah Jeremiah ambaye alikuwa mtu wake wakaribu anamchukuliaje mwanamuziki huyo alidai hamjui msanii huyo na watangazaji waache kumpa kiki


Rapa DMX Apata Mtoto wa 15

dmx-hhhDMX (1)DMX akiwa na mpenzi wake, Desiree Lindstrom.
DMX (2)DMX aliwahi kuhojiwa mwezi Juni na kusema amezaa watoto na wanawake 9 ambapo kwa sasa wamefika 10
DMX (3)DMX aliwahi kupelekwa mahakamani kwa kushindwa kulipa pesa za matunzo ya watoto kiasi cha dola 400,000.
RAPA maarufu wa ngoma ya Get At Me Dog, Dark Man X ‘DMX’ mwenye umri wa miaka 45 amepata mtoto wa 15 na wa kiume Ijumaa iliyopita (Agosti0 19) kupitia kwa mpenzi wake wa siku nyingi, Desiree Lindstrom.
Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa na jarida la TMZ, mtoto huyo ambaye ni wa kwanza kwa mwanadada  Desiree na wa 15 kwa DMX alizaliwa akiwa na uzito wa Kilogram 2.9 na amempa jina la Exodus Simmons.
1390344749_dmx_kids23_46Inasemekana kuwa wakati mpenzi wake huyo akijifungua, ‘DMX’ hakuwepo hospitalini hivyo alilazimika kupanda kwenye ndege kutoka Arizona hadi New York ili kumuona mwanaye Exodus usiku wa siku hiyo.
Mwaka 2010, DMX alikorofishana na aliyekuwa mkewe Tashera Simmons hivyo kulazimika kuachana akiwa ameishi naye kwa muda wa miaka 11.
trinidad-dmxMpenzi wake mwingine ambaye ni mkazi wa Maryland, Monique Wayne alimzalia DMX mtoto mnamo 2004, huku akidai kuwa rapa huyo alimbaka na kumsababiushia ujauzito huo,hivyo mwaka 2008 kulazimika kumlipa mwanamke huyo pesa kiasi cha dola milioni 1.5.
Mwaka 2013, alitangaza mahakamani kuwa amefirisikajambo ambalo lilitafsriwa kuwa ni moja ya njama zake za kukwepa kuwahudumia watoto wake. Mwaka 2015, alihukumiwa kwenda jela miezi 6 kwa kushindwa kulipa pesa kiasi cha dola $400,000 kwa ajili ya matunzo ya mwanaye.

Picha Mpya ya wolper yazua gumzo mitandaon

Hii ndio picha ya wolper inayoongoza kupostiwa kwenye mitandao ya kijamii kama instagram na fb, picha hii inaonekana kuwavutia wengi zaidi ,salute zimfikie wolper wereva.... I phone 7 plus wereva kwenye ubora wake[​IMG]

AliKiba Amaliza Kurekodi Kolabo Yake na Yvonne Chaka Chaka


Msanii wa Bongo Fleva Ali kiba amemaliza kurekodi Kolabo yake na Msanii nguli wa muziki barani Afrika Yvonne Chakachaka leo huko nchini Afrika Kusini.

Ali Kiba ambae yupo Afrika Kusini kwenye ziara yake ya kimuziki kwenye miji tofauti tofauti amekamilisha project hiyo na Mwanamama Yvonne ya kufanya kazi pamoja ambayo Kiba alieelezea tangia mwaka jana.

Akithibitisha kukamilika kwa Kolabo hiyo Ali Kiba kupitia Ukurasa wake wa Twitter ameandika “We done with Mama @yvonne_chakachaka . I am honored and truly excited about our project . Thank you Mama for everything #KingKiba

Alikiba afunguka haya kuhusu rapper M.I


Timu ya Alikiba ilikata tiketi za ndege kwa awamu mbili kwaajili ya rapper M.I Abaga kusafiri kutoka Nigeria kwenda Afrika Kusini ili kuungana na staa huyo kushoot video ya wimbo aliomshirikisha, Aje.
Hata hivyo pamoja na hivyo, M.I hakuweza kutokea na hivyo ikamlazimu Alikiba kushoot kwa mara nyingine video bila kuwa na rapper huyo na CEO wa label ya Chocolate City.
Akiongea kwenye dinner maalum iliyoandaliwa kwenye hoteli ya Double Tree jijini Dar baada ya mapokezi yake ya Jumanne hii, Kiba alisema M.I alionesha kuwa ni mtu anayejali zaidi biashara zake.
“Hatukutaka kuingilia ratiba zake kwahiyo sisi tuliweza kufanya ile ya Kifaransa tukamaliza video. Lakini hii ya sasa hivi vile vile tulijitahidi kwa nguvu zetu zote kuhakikisha M.I atakuwepo lakini kuna sababu ambazo sisi wenyewe, management yangu ziko nje ya uwezo wetu,” alisema Kiba.
“Sababu tuliweza kukata tiketi mara mbili, namaanisha siku mbili tofauti, licha ya kutumiwa tiketi kwa mara ya kwanza bahati mbaya akakosa ndege na siku ya pili tena ikakosekana ndege. Kwahiyo kibinadamu tu haipendezi, sio kwamba kuonesha tuna hela ama nini kwamba tumtumie tena tiketi ya tatu, tukaona haina shida, we can do this,” aliongeza.
Alikiba amesema hiyo ndio sababu aliamua kuifanya video ya Aje Remix kwa utofauti zaidi ili kuziba pengo hilo.

REMY MA NA NICK KWENYE BIFF


New
[​IMG]

"Remy Ma has come out swinging in a new diss track targeting Nicki Minaj ... and with lyrics that include, "f*** Nicki Minaj," she's definitely not hiding any feelings.

Internet speculation grew Friday that Minaj had thrown shots at Remy in recent features and it appears Remy believed she was getting attacked too, because she dropped the diss track just 24 hours later.

Ma's "Shether" is a nearly 7-minute slaughter of Nicki, with cover art that features Minaj's Pink Barbie persona cut into pieces.

As for the lyrics, Ma doesn't hold back ... saying, “You stole that line about bitches being your sons. How you take my ’09 jail tweet and run. Talkin’ ‘bout bringing knives to a fight with guns. When the only shot you ever took was in your buns."


And we thought Drake and Meek Mill was nasty ..." TMZ.


Here's the track

Jumatano, 11 Mei 2016

msanii wa bongo movies afariki dunia

May 12 2016 ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa filamu na Muziki nchini, kuhusiana nataarifa ya kufariki kwa mmoja kati ya wachekeshaji maarufu nchini Tanzania,  Mohammed Abdallah  (Kinyambe) kutoka kwenye maigizo ya Vituko Show.

justin bieber sitapiga picha tena na mashabiki

ImageJustin Bieber asema hatopiga picha tena na mashabiki wake

Iwapo hujagundua basi ujue kwamba nyota wa muziki wa Pop Justin Bieber yuko katika ziara ya ulimwengu.

Kwa sasa yuko nchini Marekani ambapo alionekana amepumzika katika mbuga moja kabla ya tamasha yake mjini Boston.

ImageBieber alivyoandika katika mtandao wa instagram

Bieber ambaye alikuwa hana viatu aliwavutia mashabiki lakini akakataa kuzungumza nao hadi watakapoweka simu zao chini.

Haijulikani iwapo picha alizochukua na mashabiki wake katika lango la mbuga hiyo zilikuwa za mwisho,lakini baadaye jioni alichapisha katika mtandao wake wa Instagram kwamba hatapiga picha tena na mashabiki.

ImageHivi ndivyo mashabiki wake walivyomjibu

''Iwapo utakutana nami mahali ujue kwamba sitapiga picha tena'',aliandika.

Alielezea vile watu hawaezi hata kumsalimia ama kujua kwamba hata yeye ni binaadamu na hivyobasi kumfanya kujihisi kama mnyama na sasa anataka kuheshimiwa.

ImageTWITTERImageJustin Bieber aiwa nchini Marekani

Aliongezea: Najua kwamba watu hawatafurahia lakini hakuna mtu anayenidai picha.

Jumanne, 10 Mei 2016

polisi waandamana kisa beyonce

ImageGettyImageBeyonce Knowles

Kundi moja la maafisa wa polisi limefanya maandamano karibu na tamasha lililofanyika katika mji wa nyumbani wa nyota wa muziki Beyonce huko Houston.

Wanachama wa muungano wa polisi na Sherrif walisimama mbali na uwanja wa soka na kuelekeza mwangaza wa bluu katika ukumbi wa tamasha hilo.

Walikuwa wanapinga kanda ya video ya Beyonce ambayo wanasema inawaponza polisi.

ImageReutersImageMaafisa wa polisi wa Marekani

Mwanamuziki huyo tayari amesema kwamba hawakosoi polisi katika wimbo huo na kusema kuwa maafisa wa polisi wanaodhani aliwaponza wanakosea.

Mwanachama mmoja wa polisi amekiambia chombo cha habari KHOU11 kwamba hawakufurahia baada ya Beyonce kutumia picha za gari moja la polisi mjini New Orleans iliokuwa ikizama katikamafuriko.

''Tunaamini kwamba baadhi ya mambo yake ni kinyume na maafisa wa polisi'',alisema.

ImageBeyonce_black_Panther

Mnamo mwezi Aprili,Beyonce aliambia jarida la Elle kwamba anaheshimu polisi lakini hapendi unyanyasaji.

''Mtu yoyote anyedhani kwamba siwapendi polisi anakosa kwa sababu'', alisema.

''Ninawapenda na kuwaheshimu sana polisi pamoja na familia za maafisa hao ambao hujitolea ili kuhakikisha tuko salama''.

Jumapili, 8 Mei 2016

picha za mastaa mbali mbali na mama zao




IKIWA KWAMBA JANA ILIKUWA SIKU YA MAMA DUNIANI, LEO TUMEKUWEKEA PICHA ZA MAMA WA MASTAA MBALIMBALI KUTOKA AFRICA NA NJE YA AFRICA.

































































Ads Inside Post