Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo burudani. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo burudani. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 1 Machi 2017

Wasanii Bongo Movies Wampinga Wema Sepetu, Wakanusha Kuidai CCM


MOVIE BADO INAENDELEA: Hivyo ndivyo tunaweza kusema baada ya wasanii wa Bongo Movie Wasanii wa Bongo Movies waliokuwa wakishiriki kwenye kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 ya Mama Ongea na Mwanao ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kukanusha taarifa iliyotolewa na Wema Sepetu kuwa CCM haijawalipwa pesa za kampeni walizofanya kwenye uchaguzi huo.
Mara baada ya Thea na Yobnesh kuzungumza maneno machache, mkutano huo na waandishi wa habari ulimalizika, ukiwa umechukua dakika chache tu na kuacha kila mtu akaizungumza lake.
“Ni kweli inasemekana kwenye mitandao kuwa tulifanya kampeni na hatukulipwa, mimi kama Mwenyekiti Msaidizi wa Muda, nakanusha taarifa hizo kuwa si za kweli… wapo wanaoshawishiwa kulichafua kundi letu, kumchafua Makamu wa Rais Bi. Samia Suluhu na kuichafua CCM, mimi nakataa, sote tumelipwa na mikataba ipo.
“Zipo simu za kushwishiwa kuhama lakini hatutohama chama na Kundi la Mama Ongea na Mwanao litaendelea kuwepo chini ya Usimamizi wa Bi. Samia Suluhu.” Alisema Batuli.
Hivi karibuni msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu aliibuka mbele ya wanahabari wakati akihamia Chadema kwa madai ya kufanyiwa hila kwenye CCM huku akidai kuwa Kundi la Mama Ongea na Mwanao linakidai CCM pesa yao ya kampeni waliyofanya mwaka 2015.
V

LIST YA WASANII WALIOPOTEA BAADA YA KUFANYA COLLABO NA DIAMOND

Leo nimewaletea list ya wasanii waliopotea baada ya kufanya kolabo na Diamond wapo pia walioendelea kutoa nyimbo mbili tatu baadae wakazima kabisa.
List hii hapa;





1.Chid benz
Rapa mkali aliyewahi kukubalika miaka iliyopita alifanya kolabo na Diamond kipindi Diamond bado hajajibrand kama sasa kwenye nyimbo nalia ilisikika saut ya chuma baada ya hapo kimya mpaka Leo.



2.Hawa
Alisikika kwa nyimbo ya nitarejea wengi walitegemea makubwa lakini halo ikawa tofauti mpaka sasa, hajatoa nyimbo iliyofanya vizuri.






3.Keisha
Nyimbo ya Keisha nimechoka aliyomshirikisha Diamond ndo ilikuwa nyimbo ya mwisho kutoa mpaka leo hatujamsikia tena.








4.Linex
Nae pia alifanya kazi na Diamond kwa nyimbo ya Salima iliyofanya vizuri hakuishia hapo akatoa nyimbo nyingine ilifanya vizuri baadae kimya sasa katoa nyimbo inakwenda kwa jina la kiherehere ambaye haijafanya vizuri.




5.Chege
Baada ya kutushtua watanzanis na nyimbo ya wacha waowane aliyofañya na Diamond. Sasa amekuja na nyimbo ya aliyemshírikisha Nàndi ambayo haina ukubwa wa acha waowane huyo tumpe mda.


6.Ay
Nae pia baada ya kufanya remix ya zigo na Diamond ilifanya vizuri Afrika kiujumla sasa amekuja kutoa nyimbo aliyemshirikisha msanii wa Kenya haina ukubwa ule wa zigo remix.








7.Yamoto band
Wengi watauliza hii Diamond amehusikaje lakini baada ya nyimbo ya cheza kimadoido ambayo Diamond ndo àlíyéigharamia. Video ile na yeye pia akapata nafasi ya kuonekana hasa ndo Ukuwa mwisho wa Yamoto Band kuendelea kutrend mpaka sasa Yamoto Band wapo kimya.












8.Lina
Baada ya kuirudia nyimbo ya Diamond kizaizai waliofanya wote Lina aliendelea kutoa nyimbo kali ikiwemo oletemba baadae nyota yake ikafifia mpaka sasa hakiki kama zamani.

9.Davido

10.P square







Jumanne, 28 Februari 2017

ROCKAFELLERS,familia tajiri zaidi duniani


  1. miaka kumi nimekuwa nikifanya research kuhusu familia inayojulikana kwa jina la ROCKAFELLERS

    kuna mada ililetwa humu kuhusu rothschild ilikuwa ni mada nzuri
    na katika baadhi ya wachangiaji walisema kuwa familia ya kina rothschild imepoteza ubabe wao wa kipesa eti familia ya kina rothschild wanazidiwa na kina bill gates, warren buffet n.k

    niliishia kucheka na ndicho kilinichonisukuma mie leo kuandika machache kuhusu familia hii ya kina rockafeller

    rockafeller ni familia ambayo imekuwapo tangu enzi na enzi ndio msingi wa serikali ya marekani kuwepo pale
    ubabe wa serikali ya marekani unatokana na uwezo wao hawa jamaa Rockerfeller

    JOHN D ROCKERFELLER NDIO TAJIRI AMBAYE HAWA NINA BILL GATES UTAJIRI WAKE WATAKALIA KUUSIKIA TU

    BILL GATES ANA LIKE 50 MILL BILLION USD ILA DID YOU KNOW THAT JOHN D ROCKAFELLER'S NET WORTH ILIKUWA $663.3 BILLION IN 2007 , ACCORDING TO LIST OF WEALTHIEST HISTORICAL FIGURES


    huyu jamaa watu wanasema alifilisika , no hakufilisika ila pesa zake alianzisha miradi mbali mbali mikubwa CHINI YA SERIKALI YA MAREKANI

    na hii ilikuwa ni kujipenyeza ili aweze kuwa na say katika serikali ya marekani

    mpaka leo familia yake ndio familia yenye nguvu sana marekani na duniani kote, wao ndio wanachagua nani awe raisi, nani awe mkuu wa majeshi nani awe makamu wa raisi famlia ya rockerfeller wanaingiza pesa nyingi sana kila siku kwenye miradi mikubwa ya marekani ikiwamo mradi wao maarufu wa ROCKAFELLER CENTER

    rockafeller center ni nini??

    Ngoja nikuulize swali dogo?

    ukiambiwa neno NEW YORK unafikiria nini

    MAGHOROFA si ndio
    hayo maghorofa ambayo asilimia kubwa yako yapo pale midtown midtown manhattan
    sasa jamaa hawa wana majengo 19 katika midtown manhatan acres 22 kuanzia street ya 48 mpaka ya 51

    [​IMG]




    kama hivyo ndivyo rockafeller center inavyoonekana

    picha zingine hizi hapa

    [​IMG]







    [​IMG]





    hapa ilivyokuwa inajengwa mwaka 1932


    wao ndio wanamiliki vyuo vikuu maarufu vyote vya marekani kwa kupitia Rockafeller foundation


    vyuo hivyo ni




    vingine ni



    • Senior (and Junior) also created
      • Rockefeller University in 1901
      • General Education Board in 1902, which later (1923) evolved into the International Education Board
      • Rockefeller Sanitary Commission in 1910
      • Bureau of Social Hygiene in 1913 (Junior)
      • International Health Commission in 1913
      • China Medical Board in 1915.
      • Rockefeller Museum, Israel, 1925–30
      • In the 1920s, the International Education Board granted important fellowships to pathbreakers in modern mathematics, such as Stefan Banach, Bartel Leendert van der Waerden, and André Weil, which was a formative part of the gradual shift of world mathematics to the US over this period.
      • To help promote cooperation between physics and mathematics Rockefeller funds also supported the erection of the new Mathematical Institute at theUniversity of Göttingen between 1926 and 1929
      • The rise of probability and mathematical statistics owes much to the creation of the Institut Henri Poincaré in Paris, partly by the Rockefellers' finances, also around this time.[SUP][7[/SUP]
      • Junior was responsible for the creation and endowment of the Colonial Williamsburg Foundation, which operates the restored historical town at Williamsburg, Virginia, one of the most extensive historic restorations ever undertaken.


    REAL ESTATE

    HAPA NDIO PATAMU


    The family was heavily involved in many real estate construction projects in the U.S. during the 20th century. Chief among them:

    • Rockefeller Center, a multi-building complex built at the start of the Depression in Midtown Manhattan, financed solely by the family
    • International House of New York, New York City, 1924 (Junior) {Involvement: John D. 3rd, Abby Aldrich, David & Peggy, David Jr., Abby O'Neill}
    • Wren Building, College of William and Mary's, Virginia, from 1927 (Renovation funded by Junior)
    • Colonial Williamsburg, Virginia, from 1927 onwards (Junior, Abby Aldrich, John D. 3rd and Winthrop), historical restoration
    • Museum of Modern Art, New York City, from 1929 (Abby Aldrich, Junior, Blanchette, Nelson, David, David Jr., Sharon Percy Rockefeller)
    • Riverside Church, New York City, 1930 (Junior)
    • The Cloisters, New York City, from 1934 (Junior)
    • The Interchurch Center, New York City, 1948 (Junior)
    • Asia Society (Asia House), New York City, 1956 (John D. 3rd)
    • One Chase Manhattan Plaza, New York City, 1961 (David)
    • Nelson A. Rockefeller Empire State Plaza, Albany, New York, 1962 (Nelson)
    • Lincoln Center, New York City, 1962 (John D. 3rd)
    • World Trade CenterTwin Towers, New York City, 1973-2001 (David and Nelson)
    • The Embarcadero Complex, San Francisco, 1974 (David)
    • Council of the Americas/Americas Society, New York City, 1985 (David)
    • In addition to this is Senior and Junior's involvement in seven major housing developments:
      • Forest Hill Estates, Cleveland, Ohio
      • City Housing Corporation's efforts, Sunnyside Gardens, Queens, New York City
      • Thomas Garden Apartments, The Bronx, New York City
      • Paul Lawrence Dunbar Housing, Harlem, New York City
      • Lavoisier Apartments, Manhattan, New York City
      • Van Tassel Apartments, Sleepy Hollow, New York (formerly North Tarrytown)
      • A development in Radburn, New Jersey
      • A further project involved David Rockefeller in a major middle-income housing development when he was elected in 1947 as chairman of Morningside Heights, Inc., in Manhattan by fourteen major institutions that were based in the area, including Columbia University. The result, in 1951, was the six-building apartment complex known as Morningside Gardens










    ROCKEFELLER NDIO WAANZILISHI WA
    Fed AU KWA JINA JINGINE NI FEDERAL RESERVE SYSTEM

    FED NI NINI?

    FED NI BANK SYSTEM YA MAREKANI AMBAYO NDIO INAYO CONTROL DOLLAR ILIYOANZISHWA MWAKA 1913 KAMA SIKOSEI

    NA HII WALIKUJA NAO KIPINDI CHA GREAT DEPRESSION KWANI GD ILIKUWA INACHANGIA WAO UTAJIRI WAO KUSHUKA SO WAKAJA NA HII FED ILI WAWEZE KU CONTROL DOLLAR

    WANA MSEMO UNOSEMA

    WE CONTROL DOLLAR, WE CONTROL OUR WEALTH
    [​IMG]


    WOTE TUNAJUA KUWA WAO NDIO WENYE
    WORLD TRADE CENTER NA

    STORY ZINASEMA KUWA WAO NDIO WALIOIANGUSHA WORLD TRADE CENTER

    WHY??

    1 SWEET REVANGE
    2. 1 SHOT TWO BIRDS


    SWEET REVANGE

    SWEET REVANGE NI KUWA WANA TAKE BACK THEIR OIL BUSINESS FROM ARABS KWANI KIPINDI KILE WAO ENZI ZA KINA JOHN D UTAJIRI WAKE MKUBWA ULIKUWA NI OIL

    THEN ARABS WAKA TAKE OVER

    SO WANAFANYA SWEET REVANGE WAKICHUKUA WALICHOIBIWA KUTOKA KWA BABU YAO JOHN D Oil


    1 shot two birds

    hii ni kuwa
    they take back oil business kwa kuiba oil kutoka kwa arabs

    na kufanikisha biashara yao ya silaha ambayo wame sign contract na serikali ya marekani


    hao ndio ROCKAFELLER FAMILY FAMILIA MATAJIRI 

Alhamisi, 15 Desemba 2016

uke kutka harufu mbaya

UKE KUTOA HARUFU MBAYA

  

Leo ningependa tuzungumzie tatizo la uke kutoa harufu mbaya, kwani ni tatizo ambalo linawaathiri dada zetu sana, na huwafanya wasiwe na uhuru wanapokuwa faragha na wapenzi wao, na kuwafanya wasiwe na raha, na kupoteza kujiamini.
Tatizo la kutoa harufu ukeni husababishwa na sababu kadhaa Kama ifuatavyo.

1.Bacterial vaginosis
Kwa kawaida, uke huwa na bakteria ambao huitwa lactobacilli, bakteria hawa ni wazuri na hawamletei shida yeyote mwanamke, bakteria hawa huulinda uke usishambuliwe na bakteria wabaya ambao ndio husababisha magonjwa. Kinachowawezesha bakteria hawa waweze kukaa kwenye uke ni hali ya utindikali wa uke(vaginal acidity); hali hii ya utindikali wa uke inapobadilika na kupungua kwa sababu yeyote ile, husababisha bakteria hawa kupungua, na hivyo kutoa nafasi kwa bakteria wabaya kukua kwa wingi, na kushambulia afya ya uke, hivyo kusababisha harufu(harufu hii hutokana na uchafu unaotengenezwa na bakteria hawa).Hali hii kitaalamu ndio huitwa bacterial vaginosis.Ni muhimu kufahamu kuwa ugonjwa huu hauambukizwi kwa njia ya zinaa, japokuwa wanawake ambao wanajihusisha katika ngono wanakuwa katika hatari kubwa zaidi ya kpata ugonjwa huu, pia wanwake wanaofanya “douching”(kujisafisha ukeni kwa kuingiza kidole) na wanaoshiriki mapenzi kinyume cha maumbile wako kwenye uwezekano mkubwa wa kupata bacterial vaginosis.

2.Magonjwa ya zinaa (Sexually transmitted diseases;Vaginal Trichomoniasis, gonorrhea,chlamydia)
Ugonjwa wa zinaa unaoitwa kitaalamu vaginal trichomoniasis ndio ugonjwa wa zinaa ambao unaathiri wanawake wengi zaidi kuliko ugonjwa mwingine wowote wa zinaa. Ugonjwa huu unasababishwa na protozoa anaejulikana kwa jina la Trichomona vaginalis. Na huambukizwa kwa njia ya ngono. Dalili za ugonjwa huu kwa wanawake ni kutoa majimaji yanayotoa harufu kali, yenye rangi ya njano–kijani,kuwashwa ukeni.
Gonorrrhea kwa kawaida pia huweza kusababisha kutokwa na majimaji yenye harufu ukeni, na kuwashwa, maumivu wakati wa kukojoa, maumivu wakati wa kufanya mapenzi, na maumivu chini ya kitovu (japokuwa, kwa gonorhea wanawake wengi wanaweza wasionyeshe dalili yoyote kwa muda mrefu).
Mara nyingi, inaweza kuwa vigumu kwa daktari kuweza kutofautisha baina ya magonjwa haya ya zinaa (hasa kwa mazingira yetu duni); Hivyo basi mara nyingi daktari atatoa dawa kwa ajili ya magonjwa haya matatu ya zinaa pale anapofikiri kuwa mgonjwa wake ana tatizo la ugonjwa wa zinaa.

3.Fangasi za ukeni (Vagina candidiasis)
Fangasi za ukeni pia huweza kusababisha kutokwa na harufu kali ukeni, japokuwa si kwa kiwango kikubwa sana kama sababu mbili hapo juu. Pia, mara nyingi mwanamke mwenye tatizo la fangasi za ukeni atalalamika kuhusu kuwashwa zaidi kuliko harufu.
Dalili za fangasi za ukeni ni pamoja na kutoa majimaji mazito ya rangi nyeupe (kama maziwa mtindi) yenye harufu, kuwashwa ukeni,pamoja na kusikia maumivu wakati wa kufanya mapenzi.
Vitu ambavyo vinamuweka mwanamke katika hatari ya kupata fangasi za ukeni ni pamoja na kufanya “douching” (kujisafisha uke kwa kuingiza kidole), kuvaa nguo za kubana, kuvaa nguo za ndani ambazo sio za cotton, kuvaa nguo za ndani ambazo hazijapigwa na jua/kupigwa pasi, usafi hafifu wa sehemu za siri, matumizi ya vyoo vya kukaa na matumizi ya dawa za uzazi wa mpango.

Je, nini cha kufanya ili kujiepusha na harufu mbaya ya sehemu za siri kwa mdada?
-Epuka kusafisha uke kwa kuingiza kidole ukeni-Uke usafishwe kwa maji ya vuguvugu na sabuni ya kawaida ya kuogea (sio medicated soap), bila kuingiza kidole au kitu chochote ndani ya uke
-Epuka matumizi ya madawa ya antibiotics kwa muda mrefu bila ya kuambiwa na daktari-kwani dawa hizi zikitumika kwa muda mrefu na bila ushauri wa daktari husababisha mabadiliko katika bakteria wa kwenye uke na kupelekea magonjwa na harufu mbaya
-Vaa nguo za ndani za cotton
-Epuka nguo za kubana sana mwili
-Nguo ya ndani ianikwe nje; sehemu ambayo itapigwa na jua (na sio ndani ya chumba); au nguo za ndani zipigwe pasi kabla ya kuvaliwa,
-Unapokuwa kwenye siku zako zingatia usafi na kubadilisha pedi kama inavyotakiwa(mara 2-3 kwa siku)
-Epuka kutumia vyoo vya umma ambavyo ni vya kukaa,
-Jikinge na magonjwa ya zinaa,
-Epuka kuvaa nguo nyingi na/au nzito wakati wa kulala; vaa nguo nyepesi ambayo itaruhusu uke kupata hewa ya kutosha.
-Jisafishe vizuri kila baada ya kumaliza haja ndogo,
-Kitu kingine ambacho ni muhimu sana kufahamu, ikitokea ukaona kuwa uke wako unatoa harufu, kuuosha kwa maji mengi na sabuni nyingi mara nyingi, sio suluhisho bali unazidi kuleta matatizo zaidi kwa sababu unazidi kupunguza idadi ya bakteria wazuri, na kubadilisha hali ya utindikali wa uke na hivyo kukaribisha bakteria wabaya kwa wingi zaidi!!
-Na kitu cha mwisho ambacho ni muhimu zaidi, ni kwetu wanaume, unapoona mwenzi wako ana tatizo hili, usimseme vibaya au kumkaripia au kumtukana; Unatakiwa kutambua kuwa huo ni ugonjwa na umsaidie kuweza kuonana na wataalamu wa tiba kwa

Ijumaa, 6 Mei 2016

Mrisho Mpoto kateuliwa kuwa balozi wa TACAIDS

Mgodi wa Dhahabu wa Geita Gold (GGM) kwa kushirikiana na Tume ya kupambana na Ukimwi nchini (TACAIDS) imemteua Staa wa kugani mashairi bongo Mrisho Mpoto kuwa balozi wa kampeni ya Kili Challenge.
Kili Challenge ni Kampeni inayolenga kukusanya fedha kwa ajili ya kutunisha mfuko wa mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI. Mpoto ameteuliwa kuwakilisha na kuitangaza kampeni hii ili kusaidiana na serikali pamoja na wadau mbalimbali ndani na nje ya Tanzania.

Movie ya action nitayokushauri ukaitazame leo Cinema kama upo Dar na Arusha…

Kama movie za action ni movie zako hii unaweza kuiweka Civil War kwenye list ambayo ndani wameshiriki mastaa mbalimbali akiwemo Captain America, Iron Man, Clint Barton, Sam Wilson, Spider Man na wengineo.
Ni movie ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu hasa wale wapenzi wa movie sasa basi itaanza kuoneshwa rasmi leo Mei 6, 2016 kwenye  theater mbalimbali za Dar es Salaam na ile iliyopo Arusha iitwayo Mikumi

Ads Inside Post