miaka kumi nimekuwa nikifanya research kuhusu familia inayojulikana kwa jina la ROCKAFELLERS
kuna mada ililetwa humu kuhusu rothschild ilikuwa ni mada nzuri na katika baadhi ya wachangiaji walisema kuwa familia ya kina rothschild imepoteza ubabe wao wa kipesa eti familia ya kina rothschild wanazidiwa na kina bill gates, warren buffet n.k
niliishia kucheka na ndicho kilinichonisukuma mie leo kuandika machache kuhusu familia hii ya kina rockafeller
rockafeller ni familia ambayo imekuwapo tangu enzi na enzi ndio msingi wa serikali ya marekani kuwepo pale ubabe wa serikali ya marekani unatokana na uwezo wao hawa jamaa Rockerfeller
JOHN D ROCKERFELLER NDIO TAJIRI AMBAYE HAWA NINA BILL GATES UTAJIRI WAKE WATAKALIA KUUSIKIA TU
BILL GATES ANA LIKE 50 MILL BILLION USD ILA DID YOU KNOW THAT JOHN D ROCKAFELLER'S NET WORTH ILIKUWA $663.3 BILLION IN 2007 , ACCORDING TO LIST OF WEALTHIEST HISTORICAL FIGURES
huyu jamaa watu wanasema alifilisika , no hakufilisika ila pesa zake alianzisha miradi mbali mbali mikubwa CHINI YA SERIKALI YA MAREKANI
na hii ilikuwa ni kujipenyeza ili aweze kuwa na say katika serikali ya marekani
mpaka leo familia yake ndio familia yenye nguvu sana marekani na duniani kote, wao ndio wanachagua nani awe raisi, nani awe mkuu wa majeshi nani awe makamu wa raisi famlia ya rockerfeller wanaingiza pesa nyingi sana kila siku kwenye miradi mikubwa ya marekani ikiwamo mradi wao maarufu wa ROCKAFELLER CENTER
rockafeller center ni nini??
Ngoja nikuulize swali dogo?
ukiambiwa neno NEW YORK unafikiria nini
MAGHOROFA si ndio hayo maghorofa ambayo asilimia kubwa yako yapo pale midtown midtown manhattan sasa jamaa hawa wana majengo 19 katika midtown manhatan acres 22 kuanzia street ya 48 mpaka ya 51
kama hivyo ndivyo rockafeller center inavyoonekana
picha zingine hizi hapa
hapa ilivyokuwa inajengwa mwaka 1932
wao ndio wanamiliki vyuo vikuu maarufu vyote vya marekani kwa kupitia Rockafeller foundation
In the 1920s, the International Education Board granted important fellowships to pathbreakers in modern mathematics, such as Stefan Banach, Bartel Leendert van der Waerden, and André Weil, which was a formative part of the gradual shift of world mathematics to the US over this period.
To help promote cooperation between physics and mathematics Rockefeller funds also supported the erection of the new Mathematical Institute at theUniversity of Göttingen between 1926 and 1929
The rise of probability and mathematical statistics owes much to the creation of the Institut Henri Poincaré in Paris, partly by the Rockefellers' finances, also around this time.[SUP][7[/SUP]
Junior was responsible for the creation and endowment of the Colonial Williamsburg Foundation, which operates the restored historical town at Williamsburg, Virginia, one of the most extensive historic restorations ever undertaken.
REAL ESTATE
HAPA NDIO PATAMU
The family was heavily involved in many real estate construction projects in the U.S. during the 20th century. Chief among them:
Rockefeller Center, a multi-building complex built at the start of the Depression in Midtown Manhattan, financed solely by the family
International House of New York, New York City, 1924 (Junior) {Involvement: John D. 3rd, Abby Aldrich, David & Peggy, David Jr., Abby O'Neill}
A further project involved David Rockefeller in a major middle-income housing development when he was elected in 1947 as chairman of Morningside Heights, Inc., in Manhattan by fourteen major institutions that were based in the area, including Columbia University. The result, in 1951, was the six-building apartment complex known as Morningside Gardens
ROCKEFELLER NDIO WAANZILISHI WA Fed AU KWA JINA JINGINE NI FEDERAL RESERVE SYSTEM
FED NI NINI?
FED NI BANK SYSTEM YA MAREKANI AMBAYO NDIO INAYO CONTROL DOLLAR ILIYOANZISHWA MWAKA 1913 KAMA SIKOSEI
NA HII WALIKUJA NAO KIPINDI CHA GREAT DEPRESSION KWANI GD ILIKUWA INACHANGIA WAO UTAJIRI WAO KUSHUKA SO WAKAJA NA HII FED ILI WAWEZE KU CONTROL DOLLAR
WANA MSEMO UNOSEMA
WE CONTROL DOLLAR, WE CONTROL OUR WEALTH
WOTE TUNAJUA KUWA WAO NDIO WENYE WORLD TRADE CENTER NA
STORY ZINASEMA KUWA WAO NDIO WALIOIANGUSHA WORLD TRADE CENTER WHY??
1 SWEET REVANGE 2. 1 SHOT TWO BIRDS
SWEET REVANGE
SWEET REVANGE NI KUWA WANA TAKE BACK THEIR OIL BUSINESS FROM ARABS KWANI KIPINDI KILE WAO ENZI ZA KINA JOHN D UTAJIRI WAKE MKUBWA ULIKUWA NI OIL
THEN ARABS WAKA TAKE OVER
SO WANAFANYA SWEET REVANGE WAKICHUKUA WALICHOIBIWA KUTOKA KWA BABU YAO JOHN D Oil
1 shot two birds
hii ni kuwa they take back oil business kwa kuiba oil kutoka kwa arabs
na kufanikisha biashara yao ya silaha ambayo wame sign contract na serikali ya marekani
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni