Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo zote. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo zote. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 5 Machi 2017

Jifunze Njia 10 za Kiasili za Kuongeza Ukubwa wa Uume Bila Kutumia Dawa..!!!



Ukubwa wa uume unategemea vitu kama kiwango cha mhemuko, muda, hali ya hewa na unashiriki tendo la ndoa mara ngapi.

Si wanawake pekee ambao huwa bize kuona wanakuwa na maumbile mazuri na kwamba wanakuwa ni wenye kuvutia muda wote. Ni kawaida kukuta chumbani kwa mwanamke vipodozi vingi vya kila namna na ukakuta mafuta ya aina moja tu kwenye chumba cha mwanaume.

Wapo wanaume wachache sana ambao wamebarikiwa kuwa na uume mkubwa kwa asili. Aina ya maisha unayoamua kuishi yanaweza kuathiri ukubwa na uimara wa uume wako. Kwahiyo ikiwa una shaka kidogo juu ya ukubwa wa uume wako fanya mambo 8 yafuatayo kuongeza ukubwa wa uume kwa asili.

Mwanamke yeye huwa na uke wenye urefu wa inch 4 ingawa unaweza kuongezeka ukubwa kutegemea na namna anavyoandaliwa au mwanaume mwenyewe alivyo.

Kwa watu wazima, wastani wa ukubwa wa uume uliosimama ni kati ya inch 3.9 mpaka 5.8. Wapo pia wanaume wachache ambao kwa asili wana uume wa ukubwa wa inch 7 au 8.

Uume unachukuliwa kuwa mdogo ikiwa uko chini ya inch 4 ukiwa umesimama. Usiwaze ukubwa wa uume ukiwa umelala. Kuna wanaume wa aina mbili, kuna wale ambao uume ukiwa umelala huonekana ni mkubwa lakini uume utakaposimama hauwi mkubwa sana na kuna wale ambao uume ukiwa umelala uume wao unaonekana ni mdogo sana na ndiyo hao ukisimama unakuwa mkubwa zaidi hata ya wale ambao ukiwa umelala unaonekana ni mkubwa. Hivyo ukiona uume wako umelala na unaonekana ni mdogo sana usiwaze, ni hali ya kawaida, unatakiwa uwaze ukiwa umesimama kabisa.

1. Acha kuvuta sigara

Moshi na kemikali za kwenye sigara hujirundika kwenye mishipa ya damu (ateri). Hii ndiyo sababu uvutaji sigara una uhusiano mkubwa na ugonjwa wa moyo. Usambazwaji mdogo wa damu kwenye ogani hizo mwilini husababisha ufanyaji kazi wa chini ya kiwango wa ogani husika. Kumbuka uume umeundwa kwa mishipa mitupu ya damu, hakuna mfupa kwenye uume. Kama damu haitembei kwa uhuru wote katika ogani kadhaa mwilini na kwenye mishipa ya damu kwa ujumla uume wako nao unaweza kuathirika ukubwa wake.

2. Fanya mazoezi ya viungo mara nyingi

Kutengeneza mishipa na kupunguza uzito isiwe ndiyo sababu pekee ya kwenda gym. Kama unahitaji uume wenye afya au uume mrefu, unahitaji kujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ili kusafisha mishipa ya damu na hivyo kuongeza kiasi cha utiririkaji wa damu kwenda kwenye uume.

Kama uzito wako upo juu sana na ni mnene fanya mazoezi ya kukimbia (jogging) kila siku kwa mwezi mmoja mpaka miwili. Kama uzito wako upo sahihi tu kwa mjibu wa urefu wako fanya sana mazoezi ya kuchuchumaa na kusimama. Una chuchumaa na kusimama mara 25 mpaka 30, unaweza kupumzika dakika mbili unaendelea tena kuchuchumaa na kusimama hivyo hivyo unapumzika dakika 2 mpaka mizunguko (round) 5 kila siku.

3. Epuka vyakula vyenye mafuta sana

Kula kwa wingi vyakula vyenye mafuta sana hupelekea kuongezeka kwa uzito na unene na matokeo yake unaweza kupatwa na magonjwa ya moyo na kupungua kwa ukubwa wa uume. Kutokutenga muda kwa ajili ya mazoezi huongeza kolesto katika ateri za damu na kupelekea kupungua kwa msukumo wa damu kwenda kwenye uume. Kwahiyo acha kula kula vyakula feki (junk foods) ili uwe na uume wenye afya ya kutosha.

4. Kula sana matunda na mboga za majani

Kula sana mboga za majani na matunda yenye sifa kubwa ya kuondoa sumu na taka mwilini. Mazoea haya husaidia mwili kupigana na vijidudu nyemelezi na kuongeza afya katika ateri za damu. Kwahiyo unaweza kuongeza kimo cha uume wako kwa kuamua kula mboga majani na matunda ili kuondoa sumu na taka nyingine zisizotakiwa mwilini.

5. Ondoa kitambi

Kuwa na kitambi au tumbo kubwa ni sababu inayofanya uume uonekane ni mdogo. Hata kama una uume mkubwa kwa asili ukianza tu kufuga kitambi uume utaanza kuonekana ni mdogo. Kuondoa kitambi soma dondoo namba 2 hapo juu

6. Punguza mawazo

Hamaki na mawazo mengi (stress) hupunguza ukubwa wa uume kwani mawazo hasi au stress inapozidi na kudumu kwa muda mrefu huondoa damu kutoka kwenye uume na kupelekea ugumu kwa ukuaji wake. Pia woga au wasiwasi wa kutokumfikisha mwenza wako unapodumu muda mrefu ni sababu ya kuwa na uume mdogo.

7. Oga maji ya moto

Hali ya ubaridi sana hupelekea kupungua kwa ukubwa wa uume, kwahiyo kama unaishi sehemu yenye baridi sana jitahidi uwe unaoga maji ya moto kila mara au muda mchache kabla ya kwenda kushiriki tendo la ndoa ili kuuweka mwili wako ni wa moto ili kuongeza msukumo wa damu mwilini na kwenye uume kwa ujumla.

8. Shiriki tendo la ndoa mara nyingi

Kuna stori zinasema twiga hakuzaliwa na shingo ndefu namna hii kama anavyoonekana akiwa mkubwa, bali wanasema ile tabia yake ya kupenda kula majani ya juu ya miti ndiyo ikapelekea shingo yake ikarefuka!. Inawezekana kuna ukweli kidogo wa stori hizi. Usinielewe vibaya wala usije ukasema huyu jamaa anahamasisha watu kufanya mapenzi! Hapana usiwe na haraka hivyo utanielewa tu ninachotaka kusema

Wanasayansi wa masuala ya mapenzi wanasema ikiwa mtu mzima hana msongo wowote wa mawazo (stress), ana afya nzuri tu ya kutosha na anakula vizuri basi anaweza kushiriki tendo la tendo kila baada ya masaa 24. Angalia na umsome pia mwenza wako pia angalia umri wako, sababu kuna wanawake wengine kwa asili hawapendi kushiriki tendo la ndoa kila mara pia hatuwezi kusema mtu mwenye miaka 50 atakuwa na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kila mara kama mtu wa miaka 18 hadi 40 hivi.

Ni vigumu mtu anakaa mwenzi mzima mwingine miezi miwili mwingine anakaa miezi 6 bila kushiriki tendo la ndoa na utegemee utakuwa na uume mzuri na wenye afya. Kama hushiriki tendo la ndoa kuna uwezekano mkubwa ukawa unapiga punyeto kitendo ambacho ni kibaya zaidi kwa afya ya uume wako. Kwahiyo unaweza kushiriki mara 2 hadi 3 kwa wiki na unaposhiriki tuliza akili na upate muda wa kutosha siyo haraka haraka tu (short time).

9. Tafuta wa saizi yako

Ni ukweli uliowazi kwamba kamwe hatuwezi kuwa sawa kwa kila kitu. Kuna msemo wa wahenga pia unasema waacheni wafu wawazike wafu wenzao, kadharika hata katika suala hili la tendo la ndoa mwanaume ifike wakati uamini kwamba kuna wanawake wengine si saizi yako, wapo wanaume kwa ajili yao. Hivyo jiangalie mwenyewe na umtafute mwenza ambaye anaendana na wewe.

Wakati mwingine unaweza kupata mwenza ambaye ni saizi yako lakini sababu ya mabadiliko ya kimwili na kihomoni inatokea naye anakuwa anakuzidi, ikikutokea hivi usimwache, njoo uonane na mimi zipo dawa za asili maalumu zinazoweza kurudisha uke katika umbo dogo na unaobana vizuri kama mwanzo. Au utaona aibu tena! Kuna namna ya kuongea naye.

10. Tumia mitishamba ambayo haina madhara

Ndiyo mitishamba, kuna baadhi ya mitishamba inayoweza kurekebisha mzunguko na msukumo wa damu yako na hatimaye kuongeza ukubwa wa uume. Uwe makini sana hapa kwani unaweza kusababisha hatari zaidi hapo baadaye ukienda kwa pupa. Usitumie dawa zinazoahidi kukuongezea urefu au ukubwa sana wa uume bila kujuwa nini madhara yake hapo baadaye, epuka pia dawa zenye kamikali kwa ajili hiyo.
Jambo la mhimu

Badala ya kuwa bize na ukubwa wa uume wako, jitahidi kutafuta G-spot ili uweze kumchezea mwenza wako katika maeneo yanayomsisimua zaidi. Kumchezea mwenza wako ni muhimu sana ili aweze kufikia kileleni mapema.

Kuna mwingine anaweza kusema huyu jamaa naye vipi na hizi habari za ukubwa wa uume? Na ukaanza kunishangaa. Mimi naandika chochote ninachoona kinaweza kuwa msaada kwa msomaji wangu, inawezekana wewe una msumari wa inch 6 na unaposikia habari kama hizi unaanza kushangaa na kudhani kama ni jambo lisilotakiwa kuzungumzwa. Pole sana ndugu, hapa chini ya jua kila mtu ana shida zake na shida yako haifanani na yangu wala shida yangu haifanani na yako, mimi naweza kuwa nina uhitaji wa 10000 na wewe ukawa na uhitaji wa 100,000 zote hizi ni shida na zinahitaji ufumbuzi. Kwahiyo wapo wanaume wenye uume mdogo kweli mtu ana uume wa inch tatu mwingine inch 4 je mtu kama huyu tunamsaidiaje kama tutasema hili jambo siyo la kuzungumziwa?

Kwahiyo kila shida lazima iwe na mtu anayeweza kuisuluhisha kwa ajili ya wengine, mtu asiye na aibu kwa ajili ya wengine. Na wala usilete dharau kwenye hicho kiungo, mimi na wewe tupo hapa kama matokeo ya mahusiano hivyo ni kusema bila mahusiano kusingekuwa na hii dunia na mambo madogo madogo kama haya ndiyo yanaleta mivurugano kwenye mahusiano mengi. Na mwanaume huwezi kuwa na nguvu za kufanya kazi kwa bidii ikiwa kuna makelele kwenye mahusiano yako. Ukitaka uone uume nao ni kiungo mhimu ngoja uuguwe ugonjwa wowote wa zinaa na utokwe na maji mazito mara moja utachanganyikiwa na kumtafuta daktari kokote aliko!

Biblia inasema viungo vyote ni sawa na kila kimoja kinamtegemea mwenzake ili kufanya kazi vizuri, soma  1 Wakorintho 12: 14 – 26. Kwahiyo usiseme hiki hakizungumzwi hapana, kila kiungo kina umhimu wake tena hakuna kiungo mhimu kwa mwanaume kama uume kwani ndicho hasaa kinachomfanya aitwe mwanaume! Hivyo lolote linaloathiri kazi za uume linaathiri pia utendaji kazi kwa ujumla wa mwanaume husika.

Mbunge wa Arusha Godless Lema ametembelewa na Wema Sepetu Nyumbani kwake

Muda huu Jijini Arusha nyumbani kwa Mjumbe wa kamati kuu na Mbunge wa Arusha Godless Lema ametembelewa na miss wa Tanzania 2006 Wema Issac Abraham Sepetu na Viongozi wa BAWACHA Arusha kwa kumpa pongezi na kujifunza mbinu za Mapambano dhidi ya Dola kandamizi.
tmp_11784-IMG-20170305-WA0058-621554761.jpg
tmp_11784-IMG-20170305-WA0055-198494669.jpg
tmp_11784-IMG-20170305-WA0054-1702144981.jpg 
tmp_11784-20170305_1319241078273383.jpg
tmp_11784-IMG-20170305-WA0025-2039305645.jpg
tmp_11784-IMG-20170305-WA0056579704382.jpg
tmp_11784-MYXJ_20170305132407_fast462020948.jpg
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema akimshauri Wema Sepetu nyumbani kwake alipoenda kutembelewa. 

Alhamisi, 2 Machi 2017

MAPENZI:MAMBO WASIYOYAPENDA WANAUME PINDI WANAPOKUWA KWENYE 6*6 NA WAPENZI WAO:



clip_image002Kwa kawaida wanaume ni viongozi pale wanapofanya tendo la kujamiiana na wapenzi wao au wenzi wao, kwa maana ya kuwaelekeza wapenzi wao wawafanyie hivi au vile ili kuongeza ashki ya tendo. Kitu ambacho si rahisi kwao ni kuzungumzia ni mambo ambayo hayakuwafurahisha wakati wa kufanya tendo hilo, hususani yale ambayo yanayomfanya kupoteza msisimko au ashki ya kuendelea na tendo. Hapa chini nimeeleza baadhi ya mambo yasiyowapendeza wanaume wakati wa kujamiiana na wenzi wao lakini wanashindwa kusema kutokana na kuogopa kuwakwaza wapenzi wao:-
1)KUJIBU UJUMBE WA SIMU
Kama mwanaume atajibu ujumbe wa simu katikati ya tendo au wakati akimuandaa mwenzi wake kabla ya tendo au dakika chache baada ya kumaliza tendo, mwanamke anaweza kuchukulia kitendo hicho kama vile hathaminiwi na mwanaume huyo na atachukulia kitendo hicho kama vile mwanaume huyo anamtumia tu kumaliza matamanio yake ya ngono ingawa hatasema. Lakini kama kitendo hicho kikifanywa na mwanamke, mwanaume atakichukulia kama vile amedharauliwa kupita kiasi na kinaweza kimsababishi mwanaume kukosa msisismko wa kuendelea na tendo au hata kama akiendelea hatokuwa na ufanisi kama alivyokusudia.

2)KUTAJA JINA LA MWINGINE
Kuna wakati mwanamke anaweza kumwambia mpenzi wake wawapo kitandani, kwamba mpenzi wa rafiki yake huwa anamfanyia huyo rafiki yake hivi au vile wanapokuwa kitandani na angependa na yeye afanyiwe hivyo na huyo mpenzi wake. au anaweza kumwambia mpenzi wake vile alivyokuwa akifanyiwa na mpenzi wake wa zamani waliyeachana na akataka afanyiwe hivyo.
Hilo ni kosa kubwa sana kutaja wanaume wengine ukiwa na mwenzi wako au mpenzi wako kitandani na wala usije akavuta taswira ya mwanaume mwingine unayempenda wakati wa kufanya tendo ili ufike kileleni, kwani unaweza kujikuta ukitaja jina la huyo mwanaume na kuzua balaa. Mazungumzo yako na mashoga zako kuhusu ngono yaweke pembeni kwanza wakati unapojamiiana na mwenzi wako.
#3)KUMWAMBIA MPENZI KWAMBA ULIJIFUNZA MAHALI FULANI
Sio vibaya kama utajifunza mambo fulani fulani kuhusu mbinu za kujamiiana kwa ufanisi kupitia magazeti au majarida, lakini si vyema kumwambia mpenzi wako kwamba mbinu fulani na fulani kuhusu kujamiiana ulijifunza kupitia gazeti au jarida fulani. Kufanya hivyo kutamfanya mpenzi wako akuone kama vile wewe sio mbunifu na mtundu kitandani mpaka ukatafute kwenye magazeti.

4) KUOMBA RADHI KABLA YA TENDO KWAMBA ULISAHAU KUNYOA
Kumuomba radhi mwanaume kwamba ulisahau kunyoa nywele za sehemu zako za siri wakati mkijiandaa kufanya tendo kunaweza kumkwaza mwanaume kwa sababu wapo wanaume ambao hupenda sana kujamiaana na wanawake ambao nywele za sehemu zao za siri hazijanyolewa kipara kabisa, kwa maana ndio kwanza zinachipua au zimekua kidogo lakini sio msitu.
Sasa unapomuomba radhi kwamba ulisahau kuvyoa, je unajuaje kama hapendi hizo nywele za chini? Kumbuka kwamba sio kila kinachokukera kuhusu mwili wako kitamkera na mwenzako.
5)UKIMYA KUPITA KIASI
Wanawake wengi wanajisikia aibu kupiga makelele wakati wa tendo. Usifanye hivyo. Wanaume hupenda sana wanawake wanapopiga makelele wakati wa tendo. Naomba nieleweke, sio makelele ya kuigiza, nazungumzia yale makelele yanayokuja yenyewe bila kulazimisha kwani pale inapokuja hali ya kutaka kupiga kelele kutokana na kunogewa na tendo kisha ukajitahidi kuzuia, ukweli ni kwamba hutalifurahia tendo na badala utaelekeza akili yako katika kuzuia kufanya kile ambacho hisia zina kulazimisha kukifanya.

MAAJABU: HUYU NDIYE DADA MWENYE NYWELE NDEFU SEHEMU ZA SIRI DUNIANI... KICHAKA


Huyu ndiye mwanamke mwenye nywele ndefu kuliko wote katika sehemu za siri...!! Watu wanajua kufuga bwana.. we unaweza kuziweka ivyo??

HUU NDIO MTI WA KUSHANGAZA ULIOINGIZA MAMILIONI YA PESA, UNA SURA YA MTU


Unaambiwa hicho ndicho kivutio nchini china kilicho vunja record ya kuangaliwa na watalii kutoka barani amelican na kuingiza kipato kikubwa cha pesa:hakika mti huu unashangaza sana

Jumatano, 1 Machi 2017

Picha za Dinner Party Ya Ally Kiba Ilivyofana Double Tree Hotel Dar Ess Salaam


  Ally Kiba akiwa anazungumza  na wadau walifika katika hafla ya chakula cha jioni na wasani wenzie na Waandishi wa habari

  Jokate akiwa katika picha ya pozi wakati anaingia katika hafla hiyo.

  Omy Dimpoz, Idrisa Sultan na Kassim Mganga wakifuraia jambo wakati wa hafla hiyo

Ally Kiba akisalimiana na Mwana Fa wakati wa hafla hiyo 

Rais Magufuli amemteua Ndg. Omari R Nundu kuwa Mwenyekiti wa Bodi TTCL

Rais Magufuli amemteua Ndg. Omari R Nundu kuwa Mwenyekiti wa Bodi TTCL

Uteuzi 1.jpg
Uteuzi 2.jpg

Historia ya Sarafu Yetu Tanzania

Nimesikia kuwa hivi karibuni, nchi zote za Afrika ya Mashariki zitatumia sarafu moja. Nimekuwa natafiti pole pole kutafuta picha za pesa tulizowahi kutumia hapa kwetu, nikaona nizitundike hapa kukumbushana tulikotoka. Kuna sarafu ambazo nimeshindwa kupata picha zake, lakini hata hivyo nadhani nimefanikiwa kwa zaidi ya asilimia 90 kukusanya ukweli kuhusu sarafu yetu. Najua kuwa hadithi hii ni ndefu sana, hata hivyo kama unataka kujua historia ya sarafu yetu jipe dakika kumi hivi kuisoma yote hapa; ni burudani ya aina yake.


Kabla ya mwaka 1884, nchi yetu ilikuwa inatumia sarafu moja ya Riyal iliyokuwa imetolewa na Sultan wa Zanzibar chini ya Sultani wa Oman. Sarafu za Riyal zilikuwa kama ifuatavyo

Riyal
[​IMG]

[​IMG]

[​IMG]
Baada ya 1884, Zanzibar ilitumia sarafu za aina tatu kwa mpigo. Sarafu ya kwanza ilijulikana kama Maria Theresa Thaler iliyotolewa Italy, ilikuwa na sura ifuatayo.

Maria Theresa Saler

[​IMG]
Sarafu ya pili ilikuwa ni rupia ya kihindi pamoja na visehemu vyake ambavyo vilikuwa vingi kidogo. Sehemu kubwa za rupia zilikuwa ni Anna, pice , robo rupia na nusu rupia:

1 Anna
[​IMG]

1/4 rupee

[​IMG]

1/2 rupee
[​IMG]
1 rupee 

[​IMG]

Pesa hizi zilikuwa ngumu sana hasa kwa vile Anna ilikuwa na vipande vingine kama 1/12 ya Anna, 1/6 ya Anna, 1/4 ya Anna na kadhalika. Sikuweka picha za vipande hivi ingawa ninavyo.

Sarafu ya tatu ilikuwa inajulikana kama Zanzibari Rupee ambao kimsingi ilikuwa sawa na rupee ya kiingereza iliyokuwa ikutumika Kenya na Uganda. Sikupata picha yake.

Kwa upande wa bara, kuanzia mwaka 1884 ilikuwa inatumia Rupie za kijerumani. Rupie moja ilikuwa imegawanyika katika pesa 64. Neno la kiswahili "pesa" linatokana na sehemu hii ya rupie.

Pesa 1
[​IMG]

Rupie 1
[​IMG]

Mwaka 1891 ziliongezwa sarafu za robo rupie na za nusu rupie kama ifuatavyo.

1/4 rupie
[​IMG]

1/2 rupie
[​IMG]

Ilipofika mwaka 1893 ikaongezwa sarafu ya rupie 2 iliyoonekana kama ifuatavyo

2 Rupee
[​IMG]

Sarafu zote hizo ziliendelea kutumika hadi mwaka 1904 ambapo sarafu ya rupie iligawanywa katika vipande mia moja (decimalization), kila kipande kikijulikana kama "heller." Neno la kiswahili "hela" limetokana na mgawanyo huo. Sarafu za
nusu heller na heller moja zilitolewa wakati huo zikiwa na sura zifuatazo.

1/2 heller
[​IMG]

1 heller
[​IMG]

Kipindi hicho, sarafu za robo rupie, nusu rupie, na rupie 1 zilitolewa upya zikiwa na sura zifuatazo:

1/4 rupie
[​IMG]

1/2 rupie
[​IMG]

1 rupie
[​IMG]

Mwaka 1908, serikali iliamua kuongeza idadi ya sarafu kwa kuingiza sarafu ya heller 5 na heller kumi zilizokuwa na sura zifuatazo. 

5 heller 
[​IMG]

10 heller
[​IMG]

Hata hivyo, ilipofika mwaka 1913 sarafu ya heller 5 ilibadilishwa sura na kuwa kama ifuatavyo

5 heller 
[​IMG]

Sarafu hizi ziliendelea kutumika hadi vita ya kwanza ya dunia ilipoanza mwaka 1916. Mwaka huo serikali ilitoa sarafu ambazo hazikuwa zimetengenezwa kwa ufundi kabisa. Sarafu zilizotolewa wakati huo zilikuwa zile za heller 5, heller 20 na rupie 15. Sarafu za heller 5 na heller 20 zilikuwa na sura ifuatayo.

heller 5
[​IMG]

heller 20
[​IMG]

Sarafu ya rupie 15 ilikuwa ya dhahabu, ilijulikana kama "Tabora Pound." Ni kati ya sarafu ambazo zilikuwa ghali sana katika historia ya nchi. Kwa bahati mbaya siyo sarafu nyingi zilizoingia kwenye mzunguko kutokana na vita, kwa hiyo nyingi ziliishia kwenye minada ya wakusanya sarafu. Sura yake ilikuwa kama ifuatavyo

rupien 15
Baada ya vita ya dunia mwaka 1919, Bara na Zanzibar pamoja na Kenya na Uganda zilikuwa chini ya himaya ya mwingereza ingawa kwa mikataba tofauti. Kuanzia hapo nchi hizo zilianza kutumia sarafu moja. Katika kipindi kifupi kuanzia mishoni mwaka 1919 hadi kati kati ya mwaka 1920, bara walitumia rupie za kijerumani pamoja na rupie za kiingereza zilizokuwa zikitumika nchini Kenya, Uganda na Zanzibar. Baada ya hapo, sarafu mpya ya Florin ya Afrika Mashariki iliingizwa kwenye mzunguko badala ya rupie na rupee. Kwa bahati mbaya sarafu hii ya Florin haikudumu muda mrefu na mwanzoni mwa mwaka 1921 ikabadilishwa na Shillingi ya Afrika ya Mashariki. Kwa hali hiyo kuna sarafu chache sana za Florin zilizotolewa katika kipindi hicho na sikufanikiwa kupata picha yake. Sarafu ya Shilingi ya Afrika Mashahariki ni kati ya sarafu imara sana zilizokaa kwenye mzunguko kwa muda mrefu bila kufanyiwa mabadiliko yoyote. Ilitolewa katika vipande vya senti 1, senti 5, senti 10, senti 50(nusu shillingi) na shilingi 1. Upande mmoka wa sarafu hizo ulionyesha jina la mtawala wa himaya ya uingereza, na upande wa pili ama ulikuwa na ama pembe za tembo au picha ya simba dume. Pembe za tembo zilikuwa kwenye sarafu za senti 1, senti 5 na senti 10 wakati simba dume alikuwa kwenye sarafu za senti hamsini na shilingi moja kama ifuatavyo

Nyuma ya sarafu

[​IMG]

[​IMG]

Upande ulioonyesha mtawala wa uingereza ulifanyiwa mabadiliko ya mara kwa mara kulingana na mabadiliko ya kiutawala. Kuanzia mwaka 1921 mpaka mwanzoni mwa mwaka 1936 wakati wa utawala wa Mfalme George wa tano sarafu zilikuwa na sura ifuatayo.
[​IMG]

[​IMG]

Baada ya kifo cha Mfame George wa tano na utawala kuchukuliwa na Mfalme Edward wa nane, ni sarafu moja tu iliyobadilishwa kwa vile mfalme huyu alivuliwa madaraka baada ya muda mfupi tu kutokana na uamuzi wake wa kuoa mwanamke aliyekuwa ameachika Marekani. Sarafu iliyobadilika wakati huo ilikuwa ya senti tano tu, ambayo ilionekana kama ifuatavyo

senti 5
[​IMG]

Mfalme George wa sita aliyekuwa mdogo wa mfalme Edward wa nane alichukua madaraka mwishoni mwa mwaka huo huo wa 1936. Sarafu zilizotengezwa wakati wa utawala wake zilikuwa na sura za aina mbili. Sura ya kwanza ilionyesha mfalme kama GEORGIVS VI. Sarafu za aina hii zilitolewa kati ya mwaka 1937 hadi mwaka 1946; zilikuwa na sura ifuatayo.

[​IMG]

[​IMG]

Sarafu za aina ya pili cghini ya Mfalme george wa sita silikuwa na maneno ya GEORGIVS SEXTVS REX. Hizi zilitolewa kati ya 

mwaka 1949 hadi mwaka 1952 alipofariki. sarafu hizo zilionekana kama ifuatavyo.
[​IMG]

[​IMG]

Baada ya mfalme George wa sita kufariki, alirithiwa na binti yake Malkia Elizabeth wa pili mwaka 1952. Chini ya malkia huyu sarafu ziliokena kama ifuatavyo.
[​IMG]

[​IMG]

Sarafu hizi zilendelea kutumika hata baada ya kupata uhuru wetu. Kwa mafano sarafu zilizotolewa mwaka 1963 (baada ya uhuru)
zilionekana ifutavyo.

[​IMG]

Ilipofika mwaka 1964, kukafanyika mabadiliko kidogo katika sura ya sarafu yetu kwa kuondoa maneno yanayoonyesha mtawala wa himaya ya kiingereza. Sarafu za senti tano na senti kumi zilizotolewa mwaka 1964 zilikuwa zinaonekana kama ifuatavyo.


[​IMG]

Hata hivyo sarafu ya pamoja ya Afrika Mashariki ilifikia kikomo chake mwaka 1966 wakati Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki ilipovunjwa na kuundwa kwa benki kuu za Tanzania, Kenya na Uganda. Sijaelewa sababu ya kuvunjika kwa bodi hiyo ya sarafu, bado ninafanya utafiti. Nikizpta nitawagawieni.

[​IMG]
Benki Kuu ya Tanzania ilitoa sarafu nne za kwanza mara tu baada ya kuundwa 1966. Sarafu hizo zilikuwa za senti tano, senti ishirini, senti hamsini na shilingi moja. sarafu hizo zilionekana kama ifuatavyo:

senti 5
[​IMG]
senti 20
[​IMG]

senti 50
[​IMG]

Shilingi 1
[​IMG]

Sarafu hizi zinaendelea kutumika hadi leo ingawa thamani ya shilingi imeshuka kiasi kuwa zinaonekana hazina thamani yoyote. Ilipofika mwaka 1971 wakati wa sherehe za miaka kumi ya uhuru, sarafu mpya ya shilingi tano iliyokuwa na pembe kumi na mbili ilitolewa. Wakati huo exchange rate ya dola kwa shilingi ilikuwa ni shilingi tano kwa dola moja ya kimarekani. Kwa hiyo sarafu hii ya shilingi tano ilijuikana pia kama "dola" au "DALA" ingawa kwenye mikoa ya ziwa ilijulikana zaidi kama "Scania." Nadhani mnakumbukua chanzo cha neno "dala dala" ni kutokana na nauli ya mabasi hayo wakati huo kuwa shilingi tano. Sarafu hii ya miaka kumi ya uhuru haikudumu sana na mwaka 1972 ikabadilishwa sura na kuwa na pembe kumi kama ifuatavyo.

Shilingi 5
[​IMG]

Kuna taarifa kuwa mwaka 1974 sarafu mpya za shilingi 25 na shilingi 1000 zilitolewa ingawa benki kuu haikutunza picha zake. Ingawa sikuweza kupata sura ya sarafu ya shillingi 1000, nimefanikiwa kupata picha ya sarafu ya shillingi 25 ambayo ilikuwa na sura ifuatayo:

shilingi 25
[​IMG]

Mara baada ya kuzaliwa kwa CCM mwaka 1977, thamani ya pesa ilianza kupunguka pole pole kiasi kuwa kulikuwa na haja ya kuwa na sarafu kati ya senti ishirini na senti tano. Hivyo sarafu ya senti kumi iliingizwa kwenye mzunguko; sarafu hii ilikuwa kama ifuatavyo.

senti 10
[​IMG]

Kufuatia mkutano wa FAO uliofanyika Arusha mwezi September mwaka 1978, sarafu chache za shillingi 5 zilitolewa kukumbukia mkutano huo; sarafu hizo zikuwa na sura ifuatayo

Shillingi 5
[​IMG]

Baada ya hapo, hakukuwa na sarafu mpya hadi mwaka 1982 wakati wa sherehe za miaka 20ya uhuru ambapo sarafu mpya ya shillingi 20 ilitolewa ikiwa na sura ifuatayo.

Shillingi 20.
[​IMG]

Hiyo ndiyo iliyokuwa sarafu ya mwisho kutolewa wakati wa utawala wa Nyerere. Rais Mwinyi alipochukua madaraka mwaka 1985, aliendelea na sarafu zenye picha ya Nyerere hadi mwaka 1986 zilipotolewa sarafu zenye picha ya Mwinyi. Sarafu za senti tano, 
kumi, na ishirini hazikutolewa tena. Sarafu zilizotolewa wakati huo zilikuwa za senti 50, Shilingi 1, shilingi tano na shilingi kumi ambayo ilikuwa na sura ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Sarafu hizo ni hizi hapa:


senti hamsini

[​IMG]

Shilingi moja

[​IMG]

Shilingi tano
[​IMG]

Shilingi 10
[​IMG]


Kadri thamani ya shilingi ilivyoendelea kudorora, ilibdi kutengeneza sarafu nyingine ambapo sarafu ya shilingi 20 ilitolewa mwaka 1990 ikiwa na sura ya Mwinyi kama ifuatavyo.

Shilingi 20

[​IMG]

Mwaka huo huo sarafu nyingine ya shilingi 5 ilitolewa kwa kumbukumbu ya jengo jipya la benki kuu. Kwa bahati mbaya sikufanikiwa kupata picha yake. Mwishoni mwa utawala wa mwinyi, thamani ya shilingi ilikuwa chini kiasi kuwa sarafu ya Baba wa Taifa yenye thamani ya shilingu kumi ilikuwa inakimbilia kuishiwa nguvu yake. Hivyo sarafu mpya yenye sura wa baba wa taifa ikatengezwa ikiwa na thamani ya shillingi 100.

Shilingi 100
[​IMG]

Rais Mkapa alipoingia madarakani mwaka 1995, akapiga marufuku matumizi ya sura za raisi aliyeko madarakani kwenye sarafu: alipendelea sura za waasisi wa taifa tu na picha alama za asili za nchi ndizo zitumike. Hata hivyo hakutaka kuondoa kabisa sura ya rais Mwinyi kwenye sarafu, hivyo ikatengezwa sarafu mpya ya shilingi 50 iliyokuwa na sura ya Mwinyi kama ionekanavyo hapo chini iliyotolewa mwaka 1996.

Shilingi 50
[​IMG]

Wakati huo huo sarafu tatu zilitolewa kwa ajili ya kumbukumbu ya miaka 35 ya uhuru pamoja ni michezo ya 26 ya olimpiki iliyofanyika Atlanta Marekani mwaka huo. Sarafu hizi zilionyesha wachezaji wa kutupa tufe, riadha, na karate kama ifuatavyo.

tufe
[​IMG]

riadha
[​IMG]


karate
[​IMG]

Mwaka 1997 kulitolewa sarafu mbili mpya: moja ilikuwa na thamani ya shillingi 500 ikiwa inakumbukia miaka 75 tangu malkia Elizabeth mama wa malkia Elizabeth II alipotembelea nchi yetu mwaka 1923. Sarafu ya pili ilikuwa na thamani ya shillingi 200 ikiwa inatukuza mbuga za wanyama pori wa Afrika. Sarafu hizo zilikuwa na sura zifuatazo

Shilingi 200

[​IMG]


Shilingi 500
[​IMG]

Mwaka 1998, ilitolewa sarafu nyingine ya kudumu ya shilingi 200 kuchukua nafasi ya sarafu zote za kumbukumbu zilizokuwa na thamani hiyo. Sarafu hiyo ilikuwa na picha Karume na inaonekana kama ifuatavyo:

Shilingi 200
[​IMG]

Mwaka huo huo, ilitolewa sarafu nyingine ya thamani ya shilingi mia tano kutukuza mbuga za Serengeti. Sarafu hiyo ilikuwa na sura ifuatayo.

Shilingi 500
[​IMG]
Kuanzia mwaka 1998, sarafu yetu ilikuwa imara tena na haijatolewa sarafu nyingine mpya kwa karibu miaka tisa sasa. Mpaka sasa sarafu kubwa zinazotumika ni zile za shillingi 50, 100 na 200 zionekazo hapa chini:

Shilingi 50
[​IMG]

Shilingi 100
[​IMG]

Shilingi 200
[​IMG]

Hata hivyo, sarafu zote zilizowahi kutolewa na benki kuu ya Tanzania bado ni halali ingawa ama hazipatikani tena kwenye mzunguko au zimashekuwa na thamani ndogo kiasi kuwa zinahitajika nyingi sana ili kufanya manunuzi ya aina yoyote. Katika historia ya benki kuu, hakuna sarafu yake iliyowahi kufutwa.

Ads Inside Post