SAKATA LA VIROBA: Wauzaji wa jumla mawakala wachanganyikiwa
Wakati kampuni ya Konyagi ikidai kuwa na zaidi ya katoni laki moja za bidha ya konyagi maarufu kama kiroba, wauzajina mawakala wa bidha hiyo wameiomba serikali ilitizame kwa upya suala hilo kwani linakwenda kuathiri uchumi wa taifa kwani wengi wana mikopo katika mabenki
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni