InstagramNEWS: Ni staa gani wa bongo kafuta picha zote Instagram? kisa?
Asteria ni mtangazaji mpya wa AyoTV,
kazi yake nyingine ni kukusogezea habari kubwa za mitandao na leo yuko
na wewe na hawa mastaa wa Tanzania, miongoni mwa stori kubwa ni za mmoja
wa mastaa hao kuamua kufuta picha zote kwenye account yake ya
Instagram.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni