Kibongobongo inawezekana tusingemcheka kwa jinsi alivyoitamka ila kwa wenzetu Marekani na Ulaya naona imekua ishu, vyombo vya habari vimeripoti kuhusu kushindwa huko kuitamka vizuri Tanzania kwenye hotuba yake ya kwanza ya mambo ya nje ambapo watu wamemkejeli na kumcheka
Ijumaa, 6 Mei 2016
Mitandao yamcheka Mgombea urais Marekani Donald Trump kwa kutoitamka vizuri Tanzania
Kibongobongo inawezekana tusingemcheka kwa jinsi alivyoitamka ila kwa wenzetu Marekani na Ulaya naona imekua ishu, vyombo vya habari vimeripoti kuhusu kushindwa huko kuitamka vizuri Tanzania kwenye hotuba yake ya kwanza ya mambo ya nje ambapo watu wamemkejeli na kumcheka
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni