Jumamosi, 7 Mei 2016

kiama cha washukia wafanyabiashara wa sukari dar es salaam

Taasisi ya kupambana na rushwa Tanzania(TAKUKURU)pamoja na kushirikiana na jeshi la polisi.Wamebaini sukari inayokadiriwa kufikia kiasi cha tani 4, 579, katika viwanda vya Al_Naeem vilivyopo Mbagala na Tabata ambavyo vinaongozwa na mkurugenzi mkuu aitwaye bwana, Haruni Daudi,. viwanda hivyo vimenunua sukari ipatayo
tani 4, 579 kutoka katika kiwanda cha sukari cha kilombero huku wakiuza
tani 250  tu za sukari kwa siku. Mkurugenzi wa takukuru bwana Valentino
amesema serikali haitawavumilia wafanya biashara wa aina hiyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Ads Inside Post