Utaratibu
mpya ni wa timu maalum iliyopewa kazi maalum ya kurekodi matukio ya
Bunge yote yanayofaa kufikishiwa Wananchi na hayo matukio ndio wanapewa
Waandishi wa habari ila hakuna tena utaratibu kama wa zamani kwamba kila
mwandishi anaweza kurekodi kwa Camera yake chochote anachoona ni
habari.
April
22 2016 vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)
wametangaza kutokuchangia bajeti zote zinazoendelea ndani ya bunge hadi
pale Serikali itakaporekebisha vipengele vinavyo bana uhuru wa bunge
kama vile kuruhusu urushwaji wa matangazo ya moja kwa moja na vyombo
vingine kurekodi bila vizuizi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni