Jumapili, 8 Mei 2016

rita ora atoka na jay z



Rnb staa kutoka Uingereza Rita Ora ametolewa kwenye orodha ya wanawake wanaodhaniwa kuchepuka na Jay Z. Rita ameonekana kujiachia na Beyonce kwenye Met Gala huku akivalia beji iliyoandikwa NOT BECKY kwenye nguo yake.

Beyoncé alimuimba mwanamke aliyepewa husika ya Becky kwenye wimbo wa “Sorry,” kwenye album yake mpya ya Lemonade.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Ads Inside Post