shirikisho la soka la dunia FIFA., limetoa taarifa rasmi inayohusu kiwango cha soka cha timu za ukanda wa Afrika ya mashariki.Katika taarifa hiyi Tanzania imekuwa ya mwisho ki kiwango ukilinganisha na majirani zake wa Rwanda na burundi, huku kenya ikiendelea kushika nafasi ya juu, hii inatokana na Kenya kuwa na wachezaji wengi wa nje kama vile Victor Wanyama. Tanzania imetajwa kushika nafasi ya 129
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni