Mwendesha mashtaka kataja makosa yaliyomfanya Siwema ahukumiwe miaka miwili jela
Baada ya kuwepo kwa headlines nyingi kuhusu Siwema ambaye ni Mama Mtoto wa msanii wa bongofleva Nay wa Mitego
kuhukumiwa miaka miwili jela kwa kile kilichokuwa kinaripotiwa kuwa ni
makosa ya kimtandao, ukweli umewekwa wazi baada ya kufanya Exclusive Interview na wakili wa serikali Moris Mtoi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni