Drake amefungua mgahawa kwenye mji aliokuliwa wa Toronto nchni Canada. Mgahawa huu umepewa jina #FRINGS na ulifunguliwa kwa sherehe ndogo iliyohudhuriwa na familia na marafiki wa Drake.
Drake ameshirikiana na mpishi maarufu chef Susur Lee ambaye pia anamiliki migahawa kadha nchini Canada.
Pia Jada Pinkett Smith na Jaden Smith walikuwepo kwa mujibu wa Huffington Post.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni