Diamond hatukoja kusoma msg kwenye simu ya mpenzi wake kamwe, hii msg ndio ilimuumiza
Kwenye Exclusive Interview ya OnAIRwithMillardAyo mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz
hatosahau siku alipopekua simu ya mpenzi wake na kukuta msg ambazo
zilimfanya mpaka leo asithubutu kushika simu ya mpenzi wake yeyote
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni