Aibu Kubwa imekumkuta Waziri wa Mawasiliano wa Congo Baada ya kunaswa na Kamera ya Webcam akijichukua ofisini..Nyeti zinasema kuwa Waziri huyo alikuwa anafanya Webcam na Demu wake ambae alikuwa anamrekodi bila waziri kujua......Baada ya siku kadhaa video ikavuja....Video ni mbaya nimeshindwa kuiweka hapa..ila habari zilizotufukia ni kuwa waziri huyo amefutwa kazi kwa kitendo hicho cha aibu...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni