raisi wa awamu ya tano mheshimiwa john pombe magufuli amewapa onyo wafanyabiashara wa sukari. Amewapa onyo hilo akiwa safarini akielekea Arusha akitokea Dodoma. aliwaambia kuwa , wanatakiwa kuacha tabia ya kuficha sukari kwa kipkindi hiki ambacho sukari imekuwa tabu kupatikana. amewaambia kuwa endapo wataendelea kuficha sukari hiyo serikali itawanyanganya na kugaiwa kwa wananchi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni