Klabu ya Liverpool ya Uingereza imeamua kutoa rasmi jezi zao mpya ambazo tutegemee kuwaona wakizitumia katika mashindano mbalimbali msimu ujao ikiwemo Ligi Kuu Uingereza, baadhi ya mastaa wa Liverpoolwaliokuwepo katika utambulisho wa jezi hizo ni Jordan Henderson, Philippe Coutinho na Simon Mignolet.
Imekuwa kawaida kwa vilabu vya Ulaya kubadilisha muundo wa jezi kila msimu ila rangi ya asili ya jezi zao inabaki palepale,Liverpool tayari wametuonesha jezi mpya za msimu na tegemea kuziona wakizitumia msimu wa 2016/2017.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni