Jumanne, 31 Januari 2017
Jumatatu, 30 Januari 2017
JUA, TUMIZI YA PILI PILI KATIKA MAPENZI
Leo nmeona ni bora niwasaidie wanaume wenzangu ambao wengi huangukia katika suala zima la kutumia mabaya ya kuongeza nguvu za kiume ambayo hapo baadae huharibu kabisa mfumo mzima wa nguvu za kiume na kusababisha tatizo hilo kuwa sugu kiasi cha kukufanya kuwa hata mgumba.Leo naomba niongelee jambo moja tu ambalo ni matumizi sahihi ya vyakula lishe hasa hasa ulaji wa pilpili,kitaalamu inashauriwa kula pilpil hata 3,kwa siku ,kwani pilipili huweza kuondoa mgando wa damu katika mwili kwa kuongeza kiasi cha joto mwilini,joto ambalo husaidia kukuwa kwa nguvu za kiume kwa asilimia 3%.Pia wataalamu wameshauri kama unatatizo la kufika haraka kileleni kwa mwanaume unashauriwa chakula chako cha mwisho kabla ya kufanya mapenzi ,unashauriwa kutumia chakula chenye mchanganyiko na pilpili kidogo na ndimu kwani huamsha ari ya kushiriki tendo la ndoa na kukupa nguvu pia
Jumapili, 29 Januari 2017
AJALI MBAYA YA TRENI YATOKEA
Ajali mbaya ya treni imetokea maeneo ya jirani na mto ruvu yakihusisha treni iliyokuwa inatokea kigoma kwenda dar es salaam.mpaka sasa bado haijathibishwa ni watu wangapi wamefariki au kujeruhiwa ,na mpka tunapokea taarifa hii hakuna watu wa msaadsa kama vile polisi na ambulance waliofika katika eneo la tukio.Tunajitahidi kuwaletea pich na hata video lza tukio husika soon

Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)